ARUSHA : Wanafunzi watengeneza gari linalotumia 'Solar' lenye uwezo wa kutembea Kilomita 160

Hakika nimependezwa sana na UBUNIFU uliofanya na Wanafunzi wa Kidato cha 5 ktk Shule ya Sekondari Arush Science ya KUBUNI na Kutengeza GARI dogo linalotumua SOLAR.

UBUNIFU huo naona kuwa ni Mwanzo mzuri kuelekea UBUNIFU mkubwa Endapo tu WIZARA ya Viwanda ikushirikiana na CHUO KIKUU UDSM na WATALAAMU Wengine Watashirikiana na SHULE ya SEKONDARI ARUSHA kuliboresha GARI hilo kwa Kuliwekea VIFAA vikubwa zaidi ili liweza kutembea Zaidi ya Kilomita 160 za sasa na kutembea hata Kilomita 1000 na Kubeba Mzigo Mkubwa zaidi.

Nilitarajia baada ya Habari za UBUNIFU huu kusikia WATALAAM mbalimbali toka Wizara ya Viwanda UDSM DIT wangejitokeza Kuzungumzia UBUNIFU huu na Kuahidi Kuuboresha mara 100 ili GARI hilo liwe Mwanzo mzuri wa NCHI kutengeneza MAGARI yanayotumia SOLAR.

SHIME SERIKALI tambueni UBUNIFU HUO.
 
rushiamo kapichaa, hongera kwaooo

ivi lile la Kipanya version ingine yatoka lini?
 
Gari lenyewe likowapi?

Shida ya hapa bongo watu hawathamin juhudi za wabunifu labda ubuni miziki lakin mambo mengine serikari (mamlaka husika) zitakukosoa na kukukatisha tamaa baadala ya kukusupport ili kesho ufanye vyema zaidi
 
UDSM walikuwa wapi mpaka ndio waje kuboresha? Wao waache waendelee na kutengeneza chanchandu, Bupiji na tangawizi ili watibu COVID-19 tena maprofesa wao ndio walitengeneza.
 
rushiamo kapichaa, hongera kwaooo

ivi lile la Kipanya version ingine yatoka lini?
hii hapa
1653833341938.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hakika nimependezwa sana na UBUNIFU uliofanya na Wanafunzi wa Kidato cha 5 ktk Shule ya Sekondari Arush Science ya KUBUNI na Kutengeza GARI dogo linalotumua SOLAR.

UBUNIFU huo naona kuwa ni Mwanzo mzuri kuelekea UBUNIFU mkubwa Endapo tu WIZARA ya Viwanda ikushirikiana na CHUO KIKUU UDSM na WATALAAMU Wengine Watashirikiana na SHULE ya SEKONDARI ARUSHA kuliboresha GARI hilo kwa Kuliwekea VIFAA vikubwa zaidi ili liweza kutembea Zaidi ya Kilomita 160 za sasa na kutembea hata Kilomita 1000 na Kubeba Mzigo Mkubwa zaidi.

Nilitarajia baada ya Habari za UBUNIFU huu kusikia WATALAAM mbalimbali toka Wizara ya Viwanda UDSM DIT wangejitokeza Kuzungumzia UBUNIFU huu na Kuahidi Kuuboresha mara 100 ili GARI hilo liwe Mwanzo mzuri wa NCHI kutengeneza MAGARI yanayotumia SOLAR.

SHIME SERIKALI tambueni UBUNIFU HUO.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwa Tanzania yetu hii, ndiyo imetoka hiyo. Kiufupi hatuna viongozi wenye maono. Zaidi tuna viongozi mafisi na wapigaji tu.
 
UBUNIFU huo naona kuwa ni Mwanzo mzuri kuelekea UBUNIFU mkubwa Endapo tu WIZARA ya Viwanda ikushirikiana na CHUO KIKUU UDSM na WATALAAMU Wengine Watashirikiana na SHULE ya SEKONDARI ARUSHA kuliboresha GARI hilo
Hawajawahi hata kuchonga kijiko sahani au bakuli, huko kwenye gari ni mbali sana
 
Back
Top Bottom