Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari,
Kutoka zapa Fm zinasema vijana wawili waliokua CHADEMA na kutimkia CCM wakati wa kampeni wameomba kurudi CHADEMA kwa kile walichodai CCM hawakupata maslai waliyokua wanataka.
Wandishi wa habari wa kituo cha Radio Zapa FM Bwana Daniel Shirima amesema vijana hao bwana Rashid Shurbet na Arnold Kamde waliondoka CHADEMA na kwenda CCM kwa kile walichosema kutafuta maslai bora leo hii wanaomba kurudi CHADEMA. Bwana Daniel Shirima amesema amemtafuta kwenye simu katibu wa wilaya wa CCM bwana Feruzi Bano lakini amegoma kuzungumzia swala hilo.