DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Jiji la tanga. Arusha. Dar es salaam. Mbeya. Yote yataongozozwa na wapinzani. Congratulations
Na muandamane kabisaaaaaaaa!Wapenda mabadiliko tusivunjike moyo. Tuna mengi ya kujivunia. Angalia ni halimashauri ngapi zitaongozwa na wapinzani. Kwa maana hiyo kuna nafasi ya kuonesha ubora wetu na hivyo kuonesha watz kwa vitendo nini tunawe za kufanya. Wito wangu kwa ukawa ni kuwa enzi wana mageuzi wote akina lowassa na sumaye na wengine wengi ili kutengeneza kesho njema. Roma haikufungwa kwa siku moja. Bandu Bandu humaliza gogo. Inshallah 2020 sio Mbali. Ukawa viva
Wakuu
Arusha inasubiri kwa hamu siku ya kumchagua mbunge wetu atakayetufuta machozi yetu
Arusha tunaenda kupiga kura za hasira dhidi ya ccm kama tulivyowatandika bao 24-1
Tunamkubali sana Godbless kwa kuwa hana uoga na kwa jinsi uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa na NEC hakika tutalipiza kwa hasira dhidi ya Mollel Monaban.
Lema upate usingizi mnono tutakupa kura nyingi ARUSHA MJINI.

Lema ndio kakuagiza sio...Mwambie tutamchagua ila wana arusha hatuitaji zle siasa zake za kitoto za " maigizo" tunaitaji Mabadilikooooo ya kweli sio yale alioyafanya
miaka mitano iliyopita
piga chini huyo kanjanja arusha has become a laughing stock.Kweli wana arusha tafadhali lema arudi bungeni
piga chini huyo kanjanja arusha has become a laughing stock.Kweli wana arusha tafadhali lema arudi bungeni
Kweli wana arusha tafadhali lema arudi bungeni