magamba watalijua jiji safari hii hawachomoi
Ukiwa arusha mjini unaweza fikiria kuwa ni meru....ila watu wameamua kuwasapot arumeru wapate chaguo sahihi...kuanzia hiace mpaka gari ndogo zimefugwa bendera za chadema....watu wamepiga skaf za chadema....wamama wamepiga heren na sendal zenye rangi za chadema,,achilia mbali kofia kwa vijana,,,yote haya yanafanyika watu wakiendelea na shuhuli zao za kujitafutia rizki......nachojarib kuuliza wapenz wa ccm wako wap arusha mjin?
Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:
Wewe hauwezi kuwa Arusha, na kama kweli upo Arusha basi unajifungia ndani. Vinginevyo usingethubutu kuandika ulichoandika hapa. Au ndio propaganda zenyewe na unadhani zitageuka ukweli?
kumbe na cdm nao wanagawa kofia na tisheti kweli nyani haoni kunduleUkiwa arusha mjini unaweza fikiria kuwa ni meru....ila watu wameamua kuwasapot arumeru wapate chaguo sahihi...kuanzia hiace mpaka gari ndogo zimefugwa bendera za chadema....watu wamepiga skaf za chadema....wamama wamepiga heren na sendal zenye rangi za chadema,,achilia mbali kofia kwa vijana,,,yote haya yanafanyika watu wakiendelea na shuhuli zao za kujitafutia rizki......nachojarib kuuliza wapenz wa ccm wako wap arusha mjin?
Baadhi ya watu wa meru wanaishi mjin nikiwepo mimi.na hiyo tarehe moja tunaenda kupiga kura meru kwa nauli zetu...tunaenda kukipigia kura chadema
Mkuu nami nimepiga kambi hapa Arusha. Alichokisema jamaa ni kweli shamra shamra za CDM hapa ni kubwa. utakuta pikipiki na hiace zina bendera za CDM na mida ya jioni huelekea kwenye kampeni huko Arumeru. Tatizo ni kwamba unaweza kukuta wanaojaa kwenye kampeni ni wa kutoka Arusha mjini siku ya kupiga kura hawatakuwepo. Nimeongea na vijana toka maeneo ya makao mapya wanasema huwa wengi wao wanadamka asubuhi kwenda kwenye kampeni. Nilipowauliza kama watapiga kura wakasema wao ni wapiga kura wa mjini.Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:
Hao ni washabiki sio wapiga kura . I feel sorry 4 u ndg zangu magwanda.
Hao ni washabiki sio wapiga kura . I feel sorry 4 u ndg zangu magwanda.
kumbe na cdm nao wanagawa kofia na tisheti kweli nyani haoni kundule