Nakumbuka electrical.. melkiory na wenzie. Hahaa longtimeKaribuni tukumbushane mambo mbalimbali kuhusu CHUO chetu pendwa cha ufundi ARUSHA TECHNICAL COLLEGE bila kusahau mikazo ya supplementary haswa AUTOMOTIVE DEPARTMENT,ELECTRICAL DEPT na nyinginezo karibuni sana wahandisi kuchangia chochote.