Arusha technical college

Arusha technical college

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,169
Reaction score
2,487
Habari.mwenye kufahamu kuanza kwa masomo atc kwa wanafunzi wa diploma atuhabarishe.
 
masomo mbona walishaanza mkuu? labda kama ni kwa diploma waliochaguliwa second round nadhan semester yao itakuwa tofauti
 
Colleg hiyo inahusika na nn hasa maana ninaona jirani yang kasoma HGL nae snataka Arusha colleg
 
Back
Top Bottom