Trippier Member Joined Aug 30, 2018 Posts 86 Reaction score 22 Sep 27, 2018 #1 msaada jamani kuna ailieomba round ya pili chuo cha Arusha technical collage bachelor na kajibiwa kwenye zccount ake
msaada jamani kuna ailieomba round ya pili chuo cha Arusha technical collage bachelor na kajibiwa kwenye zccount ake
E Edwin mkw JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 544 Reaction score 120 Sep 28, 2018 #2 OYA nisaidie namba za arusha tech zile admision ambazo nnazo hazpatkan
Moses Ngelime Member Joined Sep 5, 2018 Posts 29 Reaction score 19 Sep 28, 2018 #3 Write your reply...tripper ATC bado nahis soon watatoa majina
abersy Member Joined Jun 6, 2016 Posts 38 Reaction score 21 Sep 28, 2018 #4 ATC c itakuwa imeshajaa mzee maana yake 1st round watu wa single selection na ambao awaja confirm chuo kilikuwa kishajaa
ATC c itakuwa imeshajaa mzee maana yake 1st round watu wa single selection na ambao awaja confirm chuo kilikuwa kishajaa