Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Wasalaam,
Hiki ni chuo cha ufundi jijini Arusha, junction ya Moshi na Nairobi roads.
Ningependa kukifaham zaidi. Mazingira
Asanteni.
Kimazingira kipo karibu na Triple A kwa upande wa magharibi...........mashariki kuna Sundowners........kusini ipo Narok.....Kaskazini kuna lodge nzuri sana inaitwa SG........kusini mashariki kuna Pin point......Big L na Picnic.....kaskazini mashariki kuna Ma....o bar........
karibu sana Technical College.........

What abt staff welfare?
Wa kipengele hicho anakuja...........vuta subra.......
What abt staff welfare?
Kimazingira kipo karibu na Triple A kwa upande wa magharibi...........mashariki kuna Sundowners........kusini ipo Narok.....Kaskazini kuna lodge nzuri sana inaitwa SG........kusini mashariki kuna Pin point......Big L na Picnic.....kaskazini mashariki kuna Ma....o bar........
karibu sana Technical College.........
vipi umeitwa kwenye interview
Upo arusha mkuu?
nipo Mongolia mkuu.........
ila pale chini kuna galaxy bar umesahau kidogo pale juu kuna arusha night park( sasa hivi inaitwa.....) ukielekea sakina kuna kisima cha raha pale Mile Stone bar pale mpka mbege unapata ile fresh ukienda pale njiro kuna bugalooo ni hatari! hivi kona ya kijenge bado ipo ile HEART TO HEART night club?! Nina miez sasa sipo Arusha,wapi colobus night club(zamani mawingu club)
What abt staff welfare?