ARUSHA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,612
Reaction score
40,158
ARUSHA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi wa jumuiya hiyo.

Akikabidhi uenyekiti huo, Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Museveni atachukua nafasi hiyo baada ya yeye kumaliza muda wake wa kuliongoza baraza hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Baada ya kutangazwa, Rais Museveni amemshukuru Rais Ruto kwa kuiongoza jumuiya hiyo katika kipindi cha mwaka uliopita na kuahidi kuendeleza ushirikiano ili kuimarisha maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya jumuiya hiyo.

Aidha ametoa shukrani kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa mapokezi mazuri waliyopata wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Arusha.
#HabariLeoUpdates
 

Attachments

  • FB_IMG_1772888470791.jpg
    72.1 KB · Views: 3
Mzee huyo apumzike, mbona amechoka sana, mashavu yananing'inia, nuru kapoteza , hivi hata hio kazi ataifanya kwa ufasaha kweli?
 
Huo ni udhibitisho kuwa huo ni umoja useless.
 
Huo umoja wa Africa mashariki sioni hata Cha maana unacho kifanya ,
Unaruhusiwa kutembela nchi jirani bila kibali, na unaweza kuloea huko kama unafanya kazi au biashara
Sema tu sisi asilimia 98% ni mambulula hatujawahi hata kwenda Burundi, ndio maanaa tulizidiwa kete na wakenya wanakuja kwetu na kutupiga bao kwenye kazi na biashara tukaamua kuwabania
 
Mzee huyo apumzike, mbona amechoka sana, mashavu yananing'inia, nuru kapoteza , hivi hata hio kazi ataifanya kwa ufasaha kweli?
Huruma sana hapo ni sawa useme yule kiongozi wa Tume mpaka wamemuongezea muda lakini muda utaisha bado hakuna kitu ni kuwachosha tu wazee wangekaa wale pension zao, mzee kachoka sana ila hakomi
 
So mtu uende kuishi uganda ili iwe Nini sehemu ambayo Ina lack of opportunity
 
1) Ethiopia should be invited to join the East African Community.

2) Lengthen the runway of Arusha Kisongo airport, to 4,000 metres. This will enable big planes that carry leaders to land in Arusha Kisongo.

3) Lengthen the runway of KIA airport to 4,000 metres. These two airports will greatly boost diplomatic infrastructure.

4) Create one single currency to cover the entire EAC and SADC area. This single currency should co-exist with national currencies, do not abolish the national currencies. The central bank for this single currency should be in Arusha.

5) Make the whole main road from Holili (on the Tanzanian-Kenyan border, via Moshi and Arusha) until Makuyuni (when the main road branches to Babati and to Ngorongoro gate), to become a double road.

6) Build a SGR rail from Nairobi to Arusha to Dodoma.

7) Make Arusha city a hub for international organisations like the EAC, SADC, AU, AfCFTA, UN, World Bank, IMF etc. And improve the infrastructure of Arusha city. Including tarmacking the road that goes into the AICC estate area, off Njiro Road.

8) The Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) should become the Eastern and Southern African Management University (ESAMU).

9) Tarmac the road from Ngorongoro park gate to Serengeti park gate to Musoma lake Victoria beach. This will boost tourism.

10) Change the labour laws in the EAC member states and in the EAC secretariat to be pro-young and also to accommodate Gen Zs.

Make the labour laws to allow for 50% part-time employment in the government civil service, and in the entire public sector (including in Universities and Colleges) and also in the corporate private sector. Also make the labour laws to allow for short-term contracts that range from 1 month to 12 months, whether full-time or part-time (50%), in the government civil service, in the public sector (including in Universities and Colleges), in public corporations, and in the corporate private sector.

Make internship programmes, graduate trainee programmes, graduate management trainee programmes (that employ young people with absolutely no work experience), mandatory, in the civil service, in the public sector, in public corporations, and in the corporate private sector.

Compulsory retirement age, in the government civil service, in the public sector (including in Universities and Colleges), in public corporations, and in the corporate private sector, should be increased from 60 years to 70 years. So as to accommodate young people, Gen Zs and Gen Xs, who are not yet successful in life.
 
Huo umoja wa Africa mashariki sioni hata Cha maana unacho kifanya ,
Haujawahi kuwa na chochote cha maana zaidi ya kujenga E.A Road na kuomba pesa BOA kwaajili ya kukarabati barabara ya Tengeru kuelekea Namanga na haijakamilika. Kwa muda waliokuwepo walipaswa kufanya mengi zaidi ya hayo.
 
Haujawahi kuwa na chochote cha maana zaidi ya kujenga E.A Road na kuomba pesa BOA kwaajili ya kukarabati barabara ya Tengeru kuelekea Namanga na haijakamilika. Kwa muda waliokuwepo walipaswa kufanya mengi zaidi ya hayo.
Wangese wapigaji Hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…