ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Aisee kumbe? ODM utarudi kwa ajili ya nani vilee?
Nikikamata raba mtoni ya klorokwini..... ODM atakuwa mgeni wa Preta....... Nikikosa rabamtoni ntaazima makubazi ya Bigirita then Blakiwoman atakuwa mwenyeji wangu. Kama vipi niazime zile mokasini zako nikabembee na Liliflawa au Switiledi........
 
vigezo na masharti kuzingatiwa...........
 
hapana......hapana neno kabisa...hata wao wanajua kuwa mimi ni mkarimu sana na napenda wageni mno.......hata maanonymous mimi huwa nawapenda tu........
Tatizo ukarimu wako una mipaka......BTW nitumie namba yako ya simu au Imeili adresi yako nikufowadie yale mafoto.......... waambie na wanaapolo wenzako wote isipokuwa Igweeeeee
 
Back
Top Bottom