Arusha ni aibu kwa taifa kwa kukosa Kituo cha mabasi cha kisasa

Kuna plan kubwa ya kujenga kituo kikubwa cha mabasi nje ya mji maeneo ya USA river so tulia hapo hapo usiondoke.
 
Hizi mbishe za kuishindanisha kilimanjaro na arusha zinanikeraga kwa sababu kote ni sawa na jamii moja na ukienda nje ya arusha na moshi wana tuterm pamoja kama watu wakaskazini pamoja na manyara afu arusha n mji unaokuwa kwa kasi changamoto kama izo lazima ziwepo ndio stendi ndogo ipo ila mahitaji yameshaizidi ungekuyta haipo tungesena ila ipo ilijengwa ila mji unatanuka mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kumshindanisha mtu na ndugu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa na wanasiasa ndio tatizo...,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…