Kama ni martaa tu ya kuongozea gari basi hata Arusha yamo sema sasa haijulika ni wakati gani mwenda kwa migii atapita na niwakati gani gari linatakiwa kupita kama hapo wakuu wa usalama barabarani nijuzuni.
kuna ile ya kama unatokea stand kuu ya mabasi, ukitaka kukunja uje mwenge haiwezekaniki, au mie ndio "kiazi"? hizi taa za arusha bwana, vuruguuu tupu, ile ya sanawari ya kivuko cha miguu nayo sijui imeondolewa, sijui ilipata ajali lakini haipo, mweh

Ila kimsingi zile taa za Arusha kama ni manispa wameweka basi wamelazimisha maana barabara haiendani na kuwa na taa kabisa wangejaribu kuzitengeneza kwanza....ila hope muda si mrefu mambo yatakuwa super maana nimeona viujenzi fulani vinaendelea vya utanuzi wa barabara
mweeh mweeh mweeh njoo kwetu Njombe huku utakimbia, kuna baridi kama tuko bara la antaktika, ila sie tushazoeapo karibu sana, kuna baba mmoja huwa anatania kama unataka kujipima urijali mwanaume akasimamishe njombe akiweza kusimamisha mara 3 mfululizo yaani akabiga bao 3 basi huyo kweli rijali. Wanaume wa huku wanalalamika baridi yaani ukivua tuu kama ilikuwa imesimama ndani ya suruali ikipata kale ka ubaridi tuu inalala fyooo sasa kazi hapo kuiamusha iiih karibuepo rafiki njombe unatamani kabaridi eeh karibu.

....hahaaaaha nimesoma njombe sec ya enzi hizo so nakusoma vizuri sana unachosema,ukioga unatoka mvuke kama unapikwa, watu walikuwa hawaogi mwezi. huto tujogoo hatuna njaa, mbele ya njaa lazima atoke bandani asimame tu hata kwa mkongojo....