Arusha na CCM

Hivi mkoa mzima wa Kilimanjaro, mgawanyo wa ubunge ukoje?
 

Kukata marupurupu hawawezi hata angefanyakazi kwa siku moja kama waziri mkuu. Haijalishi amejiuzulu au kastaafu malipo yanalipwa tu. Muuze Seif wa CUF kama hailipwi
 

Wakati watu wanaongelea Rais wa Tanzania, rais msafi mwenye uwezo wa kukemea rushwa wao wanaongea rais wa kaskazini bila kujali hata kama ni mla rushwa, this is too low!
 
wanataka ccm yao ibaki vilevile na watuwao wanao wataka ilitu waendeleze yalemambo yao
 

nakubaliana na wewe kwa kumkumbuka marehemu kenyata alimwambia nyerere :" mimi natawala wagonjwa kuna siku watapowa wataleta shida wewe unatawala vipofu hawataona maisha" imethibitika inauma lakini ndio ukweli .
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
acha kuropoka ccm ndo kimeiva
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Magufuli anafaa na miongoni mwa wachapakaz ndan ya serikali wakimchukia huyo ntawaita moja kwa moja wabinafsi labda wapitishe hao wake zao! akipita magufuli mechi itakuwa tamu sana ya slaa na magufuli kwan haitotabilika
 
Hiyo ndiyo hali halisi.Na hilo lilijidhihirisha tokea jana kwenye mkutano mkuu maana wadau kutoka Arusha na Kilimanjaro waliuchuna walipoitwa na Nape.
Watusahau kabisa maana tukiendelea kuwakumbatia ni upumbavu.
 
na TRA yetu watuachie
 

Hayo ni mawazo ya kujidanganya,ccm mmesha buuugi sana
 

Ccm imejiroga yenyewe
 
Aisee bado mnamatumain na UKAWA katika uraisi ? Magufur kashabadili upepo, yan hapa cha kuomba kupata wabunge wengi lakini sio uraisi
 
mtu hana sifa mnaladhimisha apite kisa wa kaskazini...!!!! chama hakiongozwi kwa hisia..mwenye sifa akiwepo ataongoza sio wahuhi wahuni tu na wezi..kama vip fanyeni uhaini mjitawale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…