Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,627
Gazeti la Daily News la leo tar 13 Nov 2013 ukurasa wa 3 limeandika habari ya Lema kusema kwamba picha chafu zinazosambaa mtaani kumhusu yeye ni fake.

Lema akiongelea hizo picha anasema picha hizo zilianza kutumwa kwa mke wake ambaye naye alizituma kwa Mh Msigwa kuomba ushauri, Lema anasema ameshawafahamu wasambazaji wa hizo picha na anadai kuwa ni mahasimu wake wa kisiasa ambao wengine wako ndani ya CDM na wengine ni wa nje.

Baadhi ya namba zinazodaiwa kusambaza picha hizo ni 0752-593773, 0787717733, 0684-941134, 0688913046, na inasemekana zaidi ya watu 200 wenye smartphones wameshapata hizo picha.

Source: Daily News.



Hii habari sijaiona humu, naomba kama ipo mods unganisheni, lakini pia mwenye hizo picha aturushie tujihakikishie kweli ni fake au za kweli.

 
Azirushe humu ili iweje? Waambie daily news wakupe link ya hayo mapicha
 
I said it one day right here on JF that 'what goes around comes around'.Now it's your turn Hon. Lema to cry us a river.Tough luck!
 
Nonsense . I.D.I.O.T.S MAY CONTINUE DISCUSSING THIS.
 
Labda zipo katika ile Blog maarufu ya Raha tupu hebu niende huko mie nika-faudu! Hata kama sio yeye.
 
Mi nimesoma kwenye Gazeti la daily news, page no 3 habari ya kwanza kabisa. Ukisoma vizur kabisa hukuti popote panapozungumzia kwamba hizo picha zinahusu nini au zikoje, ila zinasemwa ni Dirty Photos.
 
Hizo picha zimetamalaki vilivyo kwenye simu za vijana wa UVCCM karibu wote nchi nzima wenye smartphones.
Wanasambaziana kupitia Whatsapp.
 
Hizo picha zimetamalaki vilivyo kwenye simu za vijana wa UVCCM karibu wote nchi nzima wenye smartphones.
Wanasambaziana kupitia Whatsapp.

Okay, lakini pia Lema amenukuliwa na gazeti akisema kuwa baadhi ya wasambazaji wa hizo picha ni wa ndani ya Chadema.
 
Ndio maana nilishangaa mbona lema alipotoka gerezani amechange sana kumbe alianza kamchezo dooo

Kumbe ndio maana alikuwa anang'ang'ania kukaa jela zaidi ....duh ndio naonganisha picha sasa.
 
Ngoja niwasiliane na wataalam wawili watatu niipate hiyo clip.
 
ngoja niwasiliane na vijana wa UVCCM ambao ni marafiki zangu wanifowadie nami niwe kama tomaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…