Arusha mbona nafasi za kazi hazitangazwi humu???

viccah

Member
Apr 16, 2012
16
2
Jamani wakuu kwakweli nimechoka kukaa nyumbani msaada tafadhali mbona huku Arusha nafasi za kazi hazitangazwi??? Tafadhali tusaidiane.
 
Hahahahaha ila watu wanapata kazi kila siku......jifafanulie.
 
Jamani wakuu kwakweli nimechoka kukaa nyumbani msaada tafadhali mbona huku Arusha nafasi za kazi hazitangazwi??? Tafadhali tusaidiane.

Mkuu, chungulia kwa Arusha mailing lists....kila siku kuna nafasi zinarushwa na wewe waweza kuweka CVs zako for a possible available vacancy!
 
Jamani wakuu kwakweli nimechoka kukaa nyumbani msaada tafadhali mbona huku Arusha nafasi za kazi hazitangazwi??? Tafadhali tusaidiane.
Umesoma fani ipi? Jiunge @arushamailing
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…