Karibu sana!!Wana A-Town naombeni mnijumlishe kundini
Leo tulikuwa na kikao cha jf Arusha. Kama upo serious niPM.
Kwanini Arusha tu?
Kwengineko!
sasa hawa wageni sikuhizi wanapokelewa kindugu au mbona hii taarifa mie muhudumu wa vinywaji sijapata ila tunashukuru umeridhika kwa huduma uliyopata
Kwanini Arusha tu?
Kwengineko!
Naku PM sasa hivi!!