Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Nov 30, 2013 #1 Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) Click to expand...
Wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) Click to expand...
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,722 Reaction score 692 Nov 30, 2013 #2 Hizi siasa hizi ukufuatilia sana utaumwa
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Nov 30, 2013 #3 Siasa sometimes ni ungese!
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Nov 30, 2013 #4 Tulitarajia hayo,hamna jipya mpinge mtu kwa hoja sio kwa elimu yake. poor you
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Dec 1, 2013 #5 Huyo anaetaka mwenzake asome kampeleka shule akakataa?
Micro E coli JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 938 Reaction score 192 Dec 1, 2013 #6 Mwl.RCT said: Click to expand... Cdm haijawahi kuwa na mwanachama kama huyo kwani Card yake ni number ngapi?
Mwl.RCT said: Click to expand... Cdm haijawahi kuwa na mwanachama kama huyo kwani Card yake ni number ngapi?
kidole007 JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 3,094 Reaction score 1,878 Dec 1, 2013 #7 siasa za bongo na bongo movie hamna tofauti
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 1, 2013 #8 kwani kunanini .....?