Arusha Mambo - Itarusha Bunge Kuanzia Leo

Mko vizuri, nawapata katika ubora ulio na hakika
 
Asante na mimi nimewapata kwa uzuri sana.
 
Arusha Mambo itarusha moja kwa moja Kikao cha Bunge kinachoanza leo jijini Dodoma.

Ili kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online&.....[/QUOTE]

Mbona mimi inakataa kuplay inaniambia,can't connect to stream.Ila radio nyingine ninazisikiliza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…