Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Nchi ya amani Tanzania.Ukiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari
Hebu weka japo screen shot ya u shahidi wa maneno yakoSijatukana Mange Kimambi ni kahaba anayejiuza marekani
Busara inahitajika kwenye kutoa majibu yoyote yale... Unapotukana hata kama ulikuwa na POINT matusi yanaondoa POINTNdoto za mwehu
Libya Na Tanzania ni nchi tofauti yenye majina tofauti ,tabia tofauti Na watu tofauti kamuulize kahaba mange Kimambi maandamano aliyopanga kwa kudhani yaliyotokea Libya ,Arab Springs nk yaliyotokea kule yatatokea Tanzania .Hayakutokea Sasa hivi karudia fani yake ya umalaya ya kujiuza mitandaoni kutafuta wanaume Instagram kwa kupost picha zake za umalaya wa mitandaoni.Bado wewe muda wowote utaingia sokoni mitandaoni kujiuza uwe dume au jike
Asante sana kwa darasa walahiUkiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari
Good Ideal!Kimbilia ofisi ya DC ukasikilize tangazo la mshindi wetu ccm. Kama walikuwa wanaelekea Mondu ujue jamaa karudishwa tena bungeni. Ushauri, kama si lazima, jichimbie chumbani kwako na madirisha funga. Mabomu mengine ya machozi yaweza kuja pasukia chumbani kwako kwa bahati mbaya. Basi, funga mlango wako na dirisha. Ukisikia mbio za hovyo nje, jifanye ka haupo ndani
Hitler alitawala kama hivi, halafu wajinga wanafurahia!!Ukiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari
Well said walahi!Ndoto za mwehu
Libya Na Tanzania ni nchi tofauti yenye majina tofauti ,tabia tofauti Na watu tofauti kamuulize kahaba mange Kimambi maandamano aliyopanga kwa kudhani yaliyotokea Libya ,Arab Springs nk yaliyotokea kule yatatokea Tanzania .Hayakutokea Sasa hivi karudia fani yake ya umalaya ya kujiuza mitandaoni kutafuta wanaume Instagram kwa kupost picha zake za umalaya wa mitandaoni.Bado wewe muda wowote utaingia sokoni mitandaoni kujiuza uwe dume au jike
Nenda Instagram yake kajaza mapicha yake ya hadi nusu uchi umalaya Marekani ni kazi inayoruhusiwa.Ruksa kujiuza hata mitandaoni.Unaweka picha zako anayekutaka awasiliane Na wewe mpatane beiHebu weka japo screen shot ya u shahidi wa maneno yako
HahahahaSijatukana Mange Kimambi ni kahaba anayejiuza marekani
Trueq
Nenda Instagram yako kajaza mapicha yake ya kujiuza hadi ya nusu uchi umalaya Marekani ni kazi inayoruhusiwa.Ruksa kujiuza hata mitandaoni.Unaweka picha zako anayekutaka awasiliane Na wewe mpatane bei
Limeshalewa mkuu!! Achana nalo!Busara inahitajika kwenye kutoa majibu yoyote yale... Unapotukana hata kama ulikuwa na POINT matusi yanaondoa POINT
Marekani Umalaya ni kazi inayotambuliwa hadi Na serikali ruksa kuitangaza nk Mange Kimambi kazi yake malaya anajiuza Marekani Na njia mojawapo anayotumia kapata wateja ni kupost picha zake Instagram kuwinda wanaume kuanzia za nusu utupu nk Nimetaja kazi yake.Umalaya Tanzania ni tusi Marekani ni kazi.Ambayo ndio Mange Kimambi anafanya.Hongera Uhamiaji na Waziri wa Mambo ya ndani Mange Kimambi akija Tanzania alete mkataba wake wa kazi anayofanya MarekaniBusara inahitajika kwenye kutoa majibu yoyote yale... Unapotukana hata kama ulikuwa na POINT matusi yanaondoa POINT
Ukiona hivyo hata mtoto mdogo anajua kinachotokea,hasa ikiwa ni kipindi cha uchaguzi, hapo ni kuwa mpinzani ameshinda hivyo ccm wanatengeneza mazingira ya kupora kwa nguvu kwa kuwatumia polisi! Polisi ndiyo tegemeo la mwisho la cc!Hayo ni maandalizi ya kupora ushindi wa mtu!
Anakudanganya huyo mkuu. Muache maboksi ya kura ili waibe.Asante sana nimepata cha kujifunza hapa.
Nikileta kelele kufumba na kufumbua na Mimi nahukumiwa kitanzi au?? Mbona tunatishana sasa mkubwa!!!!!!!! Kwanza sijawahi kuhudhuria kesi yoyote wala kukanyaga polisi.Ukitaka kujua hilo nguo jekundu nenda siku majaji wanaenda Toa hukumu za kesi za mauaji wanavaa majoho mekundu yanatisha wakitembea kuingia mahakamani hawacheki Wala kutabasamu rangi nyekundu iwe kwenye msafara wa askari wawe Jeshi la polisi,JWTZ,msafara wa gari au Majaji wakiingia mahakamani ogopa.Usije jifanya unapiga mikelele au vurugu mahakamani hasa mahakama kuu Na rufaa au popote walipo majaji Na Yale mavazi yao mekundu ogopa.
Wako katika harakati za kuhalaliaha wizi wa kura ili Ccm itangazwe mshindi. Ccm hivi sasa hawana uwezo kwa kushinda bila kusaidiwa na hao jamaaHeshima kwenu wakuu.
Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya washawasha huku wakiwa wamekaa tayari tayari kama wa naenda vitani vile.
Magari ni mengi ajabu makubwa kwa madogo na kila gari likiwa na bendera nyekundu.
Kama kuna anayejua kuna nini atiririke hapa ili kama kuna tatizo tujiandae namna ya kukabiliana nalo tafadhali?
Huhukumiwi ni sawa Na Raisi ukimrushia Matusi akihutubia hakugusi Ila kitakachokupata utasikia.Majaji kesi kubwa kabla ya kutoa hukumu Huwa kuna kikosi cha FFU ambacho hukikagua kabla kuendelea Na shughuli zao ukileta za kuleta wao polisi ndio wanajua wakulaze wapi? pema peponi au rumande.Mahakamani hairuhusiwi hata kupiga honi ya gari ukipiga hakimu Wala jaji hatoki kukuuliza kwa nini umepiga honi.Kitakachokukuta sio kazi ya hakimu,jaji Wala Mimi kukuambiaNikileta kelele kufumba na kufumbua na Mimi nahukumiwa kitanzi au?? Mbona tunatishana sasa mkubwa!!!!!!!! Kwanza sijawahi kuhudhuria kesi yoyote wala kukanyaga polisi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unavyoongea mtu anayekusikiliza anapata hamu ya kukuuliza maswali zaidi.Huhukumiwi ni sawa Na Raisi ukimrushia Matusi akihutubia hakugusi Ila kitakachokupata utasikia.Majaji kesi kubwa kabla ya kutoa hukumu Huwa kuna kikosi cha FFU ambacho hukikagua kabla kuendelea Na shughuli zao ukileta za kuleta wao polisi ndio wanajua wakulaze wapi? pema peponi au rumande.Mahakamani hairuhusiwi hata kupiga honi ya gari ukipiga hakimu Wala jaji hatoki kukuuliza kwa nini umepiga honi.Kitakachokukuta sio kazi ya hakimu,jaji Wala Mimi kukuambia
Unayeyukia wapi wakati polisi kibao wenye uniform Na wasio Na uniform wako nje ya mahakama unabadilika kuwa jini hewa Na kuyeyuka au?)unavyoongea mtu anayekusikiliza anapata hamu ya kukuuliza maswali zaidi.
Sasa si unakinukisha halafu unayeyuka kabla hujakamatwa??