Arusha kuna machafuko?

Risen man

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
20,236
Reaction score
54,751
Heshima kwenu wakuu.

Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya washawasha huku wakiwa wamekaa tayari tayari kama wa naenda vitani vile.

Magari ni mengi ajabu makubwa kwa madogo na kila gari likiwa na bendera nyekundu.

Kama kuna anayejua kuna nini atiririke hapa ili kama kuna tatizo tujiandae namna ya kukabiliana nalo tafadhali?
 
Kimbilia ofisi ya DC ukasikilize tangazo la mshindi wetu ccm. Kama walikuwa wanaelekea Mondu ujue jamaa karudishwa tena bungeni. Ushauri, kama si lazima, jichimbie chumbani kwako na madirisha funga. Mabomu mengine ya machozi yaweza kuja pasukia chumbani kwako kwa bahati mbaya. Basi, funga mlango wako na dirisha. Ukisikia mbio za hovyo nje, jifanye ka haupo ndani
 
Ukiona polisi wana bendera nyekundu kimbia wakikuua hamna kesi ni hali ya hatari hilo eneo usiulize kulikoni kimbilia mbali usiende karibu nao.Bendera inayotakiwa kupepea ya Taifa au ya vyama vya siasa au mameya.Ukiona bendera nyekundu inapepea iwe ya polisi au msafara wa malori ya wide vehicle paki pembeni lipite ukiwa Na gari
 
Gadaff alikuwa na polisi wengi kuliko nyie
 
Wanajiandaa kubadilisha matokeo
 
Asante sana nimepata cha kujifunza hapa.
 
Gadaff alikuwa na polisi wengi kuliko nyie
Ndoto za mwehu
Libya Na Tanzania ni nchi tofauti yenye majina tofauti ,tabia tofauti Na watu tofauti kamuulize kahaba mange Kimambi maandamano aliyopanga kwa kudhani yaliyotokea Libya ,Arab Springs nk yaliyotokea kule yatatokea Tanzania .Hayakutokea Sasa hivi karudia fani yake ya umalaya ya kujiuza mitandaoni kutafuta wanaume Instagram kwa kupost picha zake za umalaya wa mitandaoni.Bado wewe muda wowote utaingia sokoni mitandaoni kujiuza uwe dume au jike
 
Hata wamepita speed wakitoa ishara ya vidole kuwa mtu mwingine asiingie kwenye road
 
Wewe si ndiyo uko hapo na umeona, kwanini usiwaulize ili uje na taarifa iliyokamilika?
 
Haroo we ndo ambaye tumekupita hapo ulikuwa unakodoa sana macho yako, tunaenda tegua miguu shangazi wa watu
 
Wewe si ndiyo uko hapo na umeona, kwanini usiwaulize ili uje na taarifa iliyokamilika?
Ndio maana nikasema "kama kuna anaejua kuna nini atiririke hapa ili kama kuna tatizo tujiandae"
Ningekuwa naelewa ningeleta taarifa iliyokamilika
 
Huwezi kutoa comment bila kutukana mkuu?
 
Asante sana nimepata cha kujifunza hapa.
Ukitaka kujua hilo nguo jekundu nenda siku majaji wanaenda Toa hukumu za kesi za mauaji wanavaa majoho mekundu yanatisha wakitembea kuingia mahakamani hawacheki Wala kutabasamu rangi nyekundu iwe kwenye msafara wa askari wawe Jeshi la polisi,JWTZ,msafara wa gari au Majaji wakiingia mahakamani ogopa.Usije jifanya unapiga mikelele au vurugu mahakamani hasa mahakama kuu Na rufaa au popote walipo majaji Na Yale mavazi yao mekundu ogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…