Arusha kuna Mabasi ya kwenda Mbeya Usiku?

Arusha kuna Mabasi ya kwenda Mbeya Usiku?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,528
Ninataka kuwahi mkutano wa chama Kesho tafadhali naomba anayejua ratiba ya Mabasi ya kwenda Mbeya kutokea Arusha anisaidie

Ahsanteni sana
 
Saa 10 jioni ipo Arusha Express inatoka Arusha kwenda mbeya
 
Arusha express, au panda gari mpaka dom hapo kati hukosi ya kwenda mbeya.
 
Huogopi kutekwa unatangaza mienendo yako hadharani?!

Au Nchi hii ni wanaCHADEMA tu ndio wanaishi kwa kuwindwa kama Digidigi?!
 
Safari ndefu hivyo kwa nin usiende ukalala Dodoma kisha umalizie kipande kilichobaki?
 
Back
Top Bottom