babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,309
Ndugu wananchi wote mnakaribishwa katika MATEMBEZI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI yatakayoanzia Mout Meru Hotel mpaka viwanja vya Maonyesho.
Maandamano hayo yataongozwa na Band ya Jeshi la Polisi.
Wote tuhudhurie kuona mambo mbalimbali yatakayoonyeshwa viwanjani hapo.
Wote mnakaribishwa.
Chanzo.. ITV
Maandamano hayo yataongozwa na Band ya Jeshi la Polisi.
Wote tuhudhurie kuona mambo mbalimbali yatakayoonyeshwa viwanjani hapo.
Wote mnakaribishwa.
Chanzo.. ITV