Yaani kila dakika zinavyowenda ndivyo watu wanavyozidi kujaa kwa wingi kwenye viwanja vya soweto kwenye mkutano wa Chadema ambapo kwa wakati huu Mbunge Lema anahutubia na wengi ya wakazi wa kata ya kaloleni hasa wale ambao nyumba zao zinataka kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji anayetaka kujenga shoping Mall.
Wale wale lakini safari hii mmeshikika kila mkigusa mnaanikwa!!!!!!!!!!!! CDM aluta continua kazi kwako kamanda Lema!!!!!!!!!!!Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!
toa ukichwa nazi wako hapa lazima serikali iwaombe raia waridhie ndio iwalipe fidia tn na ya usumbufu juu vinginevyo serikali iwape wawekezaji eneo lingine lilikoko wazi.hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.fikirieni vya muhimu!
haya ndio madhara ya kuchagua wabunge vilaza.badala ya kuwahamasisha wananchi washirki katika kuboresha jiji lao yeye anahamasisha fujo.maana hiyo complex itawapa wananchi ajira nk.huyu mbunge wetu wizi mtupu.
Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!
Kabla wananchi hawajahamishwa kupisha ujenzi wa hiyo complex ni lazima walipwe stahili zao. Huwezi kuwahamisha watu kienyeji tu kama unahamisha ng'ombe.
Tumeshuhudia complex ngapi zikijengwa na ajira kuishia mikononi mwa wageni? Hapa kuna uhakika gani kwamba wanaarusha watafaidika na uwekezaji hu?
Mbunge ni muwakilishi wao waliyemchagua wana kila sababu kwenda kumsikiliza na hapa anazungumzia mustakabali wa hatma ya makazi yao, sasa sijui wewe kinakuuma nini. Je kati yako na mbunge anayetimiza wajibu wake nani kilaza?
Kwakuwa waliofanya maamuzi ya kuhamisha watu bila kuwashirikisha wadau walifanya hivyo kisiasa, basi lazima washughulikiwe kisiasa!
Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija