VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Asilimia 85 ya sisi members wa jf hapa Arusha ni Mawakala, na rasmi tumeapishwa leo!
Kwahiyo tutaripoti tokea kwenye source bila kukwepesha mazee!
Shamrashamra za wenzetu wa upande wa pili ni kubwa sn hapa mjini. Vikao vya Usiku na Mchana, na leo hii nimejuzwa kuwa anawasili rasmi mzee wa "WAPIGWE TU" ili kujazia safu ya serekali.
Tunaomba sala za kila mpenda mageuzi wa Tanzania. Tupo kwenye majaribu hujawahi ona.
Tunawaombea uchaguzi wa amani.
si yule wanamwita mtoto wa mkulima?Wapigwe ni nani huyo?
Tunawaombea uchaguzi wa amani.
Wapigwe ni nani huyo?
Tunawaombea uchaguzi wa amani.
Asilimia 85 ya sisi members wa jf hapa Arusha ni Mawakala, na rasmi tumeapishwa leo!
Kwahiyo tutaripoti tokea kwenye source bila kukwepesha mazee!
Shamrashamra za wenzetu wa upande wa pili ni kubwa sn hapa mjini. Vikao vya Usiku na Mchana, na leo hii nimejuzwa kuwa anawasili rasmi mzee wa "WAPIGWE TU" ili kujazia safu ya serekali.
Tunaomba sala za kila mpenda mageuzi wa Tanzania. Tupo kwenye majaribu hujawahi ona.
Siamini haya maneno yameandikwa na Ritz. Mods hebu angalia inawezekana ID yake imeingiliwa.
Mmeshajipanga kuwarushia bomu watakao jipanga kupiga kura?Tunawaombea uchaguzi wa amani.
Mkuu ni yule mpu...mbavu aliyelia bungeni..Wapigwe ni nani huyo?