Arusha empire counselling centre

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,464
Tembelea
Arusha Empire Counselling Centre

Kuna watu wanawatwisha wachungaji na watumishi wengine mizigo wakidhani wana mapepo kumbe wanataka ushauri tuu.

_ kuna watu wengi wanafika point of no return katika matatizo yao wakidhani hayana suluhisho

_ kuna walioachwa na mume mke wachumba n.k

_ kuna waliopata loose kwenye biashara zao

_ kuna waliofiwa na kujiona wako mwisho

_ usijidhuru, usirudi nyuma

Waone hawa kwa suluhisho au piga

0715133023
 
Sawa tutakuja.
But mtume wa Mungu (Yesu) alipokuwa akifanya miujiza taarifa zilikuwa zinatapakaa kwa speed kutokana na wale waliokuwa wanafanyiwa uponyaji na counseling.

Moja ya kauli zake..."jitwishe godoro lako, enenda ukashuhudie kile Mungu alichokufanyia". Sasa kwa sasa sivyo ila ni technology speak!!.
 
Tembelea
Arusha Empire Counselling Centre
Kuna watu wanawatwisha wachungaji na watumishi wengine mizigo wakidhani wana mapepo kumbe wanataka ushauri tuu
_ kuna watu wengi wanafika point of no return katika matatizo yao wakidhani hayana suluhisho
_ kuna walioachwa na mume mke wachumba n.k
_ kuna waliopata loose kwenye biashara zao
_ kuna waliofiwa na kujiona wako mwisho
_ usijidhuru, usirudi nyuma
Waone hawa kwa suluhisho au piga
0715133023

Ndug #mbere hongera kwa huduma nzuri na Mungu awajalie. Atakayeona tangazo na aone na atakayesikia na asikie. Usijibizane na yeyote atakayetoa comment za malumbano, lugha chafu na comments zisizolenga mafanikio.

Kuna watu wenye uhitaji wa huduma hii. Na hata wale wasiohitaji leo hawaijui kesho yao.
 
Amen
 
Mkuu hongera sana kwa jitihada za kujiajiri (kama ndivyo ilivyo) na kutoa mchango mkubwa sana wa kifikira kwa watu(hii ndio muhimu zaidi). Hata hivyo tangazo lako halijakamilika. Kwanza hujaliweka kimtiririko mzuri,pili hujasema mnapatikana wapi na tatu hujaonesha muda wa huduma
Hay mambo ni basics na hayahitaji mtu kupiga simu na kuuliza bali anapaswa akisoma tu tangazo apate hizo infos zote muhimu.
Kwa mfano kama ningelirestructure hilo tangazo ningesema hivi(kama mfano tu)
"Katika maisha kuna wakati mambo hayaendi kama ulivopanga huku malengo na matarajio yetu yakipishana na uhalisia.
Kuna wakati pia hatupa vile tunavovipenda au tunaumizwa na vile pamoja na wale tunaowapenda. Kazi pia zinachangamoto.zake sio tu kuzipata bali kuendelea kuzifanya kwa furaha.
Mapenzi yanaweza kukuumiza.sana na hata ukajiuliza unamkosi gani hadi yakufike makubwa namna hiyo. Pressure kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki pia zimekuwa ni kubwa na wakati mwingine zenyekutia.hasira. Ama umekata tamaa kutokana na maradhi na shida mbalimbali?
Hakika changamoto za.maisha ni nyingi. Ila ili kuwa na furaha ni muhimu kuweka fikira,mawazo na mtizamo.chanya juu ya maisha yetu. Bado unanafasi ya kutimiza ndoto zako,bado fursa zipo mikononi mwako.
Karibu.............counselling cetre iliyopo Sakina(mfano) karibu na .....katika siku za J3 hadi 1(mfano pia).Tunatoa huduma za.ushauri wa kitaalamu unaojali usiri wa mteja katika nyanja za afya,elimu, uchumi,mahusiano n.k.
Hapa utapata mbinu na njia bora zaidi za kuishi ukiwa na furaha huku ukitimiza ndoto zako. Kumbuka it's the.state of mind that determines.the state of everythn else."
"...........counselling centre, where your hope is restored"
 
Structuralist#
Nakutania kidogo kwamba ukitaka kumficha mtanzania kitu weka kwenye maandishi Mzee waangu hataona ng'o.
Juu ukifungua web ambayo ndiyo niliyoanza nayo kumewekwa mpaka picha ya hapo sehemu
Empire ni pale Nakumati Arusha chini kuna empire night club
Ndani kila kitu kimeelezwa babangu
Ula ntajipambanua hapa baadaye kwa ufupi
Nashukuru sana mkuu wangu kwa kuona jambo hili
Ni vijana Tuliosoma guidance and counselling tumaini university
Tumeshaajiriwa sana kwenye mashirika mbalimbali na sasa tuna uzoefu mkubwa sana
Sasa tumeamua kujiajiri
Tembelea
Arusha Empire Counselling Centre
Kuna watu wanawatwisha wachungaji na watumishi wengine mizigo wakidhani wana mapepo kumbe wanataka ushauri tuu
_ kuna watu wengi wanafika point of no return katika matatizo yao wakidhani hayana suluhisho
_ kuna walioachwa na mume mke wachumba n.k
_ kuna waliopata loose kwenye biashara zao
_ kuna waliofiwa na kujiona wako mwisho
_ usijidhuru, usirudi nyuma
Waone hawa kwa suluhisho au piga
0715133023
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom