Ni haki yake kabisa.
Kwani alishahama Monduli?Hivi lowasa kumbe bado ana jimbo????
Huwa wanajibu mapigo kwa maneno mwpesi sanaHata kwa Lowassa? Chadema jipmeni msije na majibu mepesi kwa masuala mazito.
DIWANI WA CHADEMA WA KWANJA JIMBONI KWA LOWASSA KUJIUZULU
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JINOME, A moment ago.
Ana hasira Laigwanani amejiuzulu nyumbani kwa mzee, ni aibu.Bro leo mbona unakuwa ivyo?
wananunuliwa ndio .....................Nimewasubiri wale wanaosema kwamba wananunuliwa ili tuone watasemaje??
Ila naomba uongozi wa ngazi za juu wa chadema wakae kikao cha dhalula ilikuliangalia hili suala la kujiudhulu kwa madiwani wao wa chademaaa