Arusha City: My perspective...

Moshi - Arusha ni kilometa 107?? Halafu masaa mawili na nusu? Mwongo sana.
Moshi Manispaa - Arusha Jiji ni km 80 kwa gari binafsi ni saa moja dk 30 ila kwa usafiri wa umma ni masaa mawili na nusu hadi ma 3 itategemea na kusimama kwa gari vituoni.

Ila jamaa katudanganta hizo km 107 sijui katoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…