figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Fundi mbao, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na kidato cha kwanza.
Sio mbaya alikuwa anakula mayai yake.
ongeza na huyo jamaa hapo juu kwenye list ya MajingaJinga sana huyo,hapo unaweza kuta kapewa masharti na mganga.
daraja mbili ya chugga ndio famous sanaDaraja mbili zipo kila kona nchi hii, hiyo ya kwako ni ya wapi
Na dawa yake ni kulinyonga tu ilo li baba!Jinga sana huyo,hapo unaweza kuta kapewa masharti na mganga.
Mji gani
Hiz si akili haya ni matope wwe una watoto? au ndio wale bado unakaa kwa mama ugali wa kengele nonsenseSio mbaya alikuwa anakula mayai yake.
Huku ni kutetea ujinga wangekuwa dada zako ungefurah?Tumekimbilia kumlaani huyu baba ila, kama alianza na mkubwa na baadaye mdogo wake, mambo yakiwa saafi hadi akaamua kuuchonga mzinga na kuanza kula mayai mchana peupeee!! Ati, mama akiwa kazini!! Jamani, tujifunze kufikiri kidogo. Hebu tuweke kanukta kabla ya kufanya maamuzi.
Swali kwenyu wamama wa fj. Hivi una muda na watoto wako wa kike kweli?? Amlambe wa kwanza, halafu wa pili. Azoee hadi aamue kulamba mchana. Hapo kasoro iko kwa mama sio baba wala watoto. Huyo mmama ni msheeenzi sana. Hajui wajibu wake tangu ndoa hadi malezi