Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Asante sana mkuu,na ni wazi kabisa kuwa afrika hii kama ina mega cities labda haitazidi mitano,umenyambua vizuri mno mkuu.Ndio maana nimekwamba ya kwamba labda haulewei maana ya Mega City!
Kuwa na Mega City siyo kitu cha kujivunia na wala MegaCity SIYO maendeleo bali ni makosa ambayo baadhi ya nchi zenye MegaCity zimefanya.
Na Nchi zote zenye Mega City leo hii wana matatizo makubwa sana na kama wangepata kuwa nafasi ya kwetu wasingependa kuwa na Mega City, bali wangesambaza Rasilimali na maendeleo nchi nzima ili wawe na Miji mingi yenye ukubwa wa wastani na yenye kutoa ubora wa maisha kwa watu wake!
Duh! Umenifurahisha mkuu,kwa hiyo huko hakuna wafanyakazi?watu ni kulewa tu? Hizo pombe wanagaiwa bure tu? Ulitembelea mtaa gani huo na mimi nikafanye utalii wa ndani?Politics ndio imeharibu kabisa mji huu..unywaji wa pombe kali kwa vijana...matumizi ya bangi kupita kiasi..hakuna other issues kujsdili maskani zaidi ya chadema na ccm. Pub kila kona ni ujanja sana kuanza kunywa asubuhi asubuhi...nimepatembelea hii wiki ya pili..ila kuna kazi ya ziada kufanya.