msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Arusha is just 'a big village' ...
jiji gani lina barabara mbili tu?
Arusha ni home lakini mh!! Yaani hata kijiji kina afadhali maana kipo wazi, aliyefanya kazi ya mipango miji katika mji ule alikuwa hana akili kabisa, ule mji unatia aibu kuitwa jiji ni vile unapromotiwa na watu.
Rasilimali zipo lakini wachache ndo wanazifaidi,mzunguko wa fedha ni mgumu ndo maana wengi wanakimbilia Dar,Airport ni aibu mno kwa jiji kama lile, stand ya mabas hamna ni aibu mno hata Msamvu Moro wamewashinda, Yaani kila kitu ni aibu tu,inabidi mji wote ufumuliwe usukwe upya.

FaizaFoxyMtu angesema kuwa arusha ni jiji kubwa kwa maana ya infrastructure hata mimi ningempinga sana tu,ila kama umemwelewa mkuu msemakweli anachokisema ni kuwa arusha ina/ilistahili kuwa zaidi ya ilivyo leo,hasa kutokana na mega projects alizoziainisha hapo,kutokana na resources zilizopo na zinazoizunguka,kutokana na geography yake,kutokana na rasilimali watu iliyonayo,ukiangazia hayo yote utakubali kuwa arusha ingeweza kuishinda hata dar,ila kuna tatizo la centralization,na equalization kimaendeleo,dar imeteuliwa kuwa joka kubwa linalomeza nyoka wengine wakiwa wadogo,linameza mpaka think tanks za mikoa mingine,mfano wabunge na mawaziri,etc etc.
Mtu angesema kuwa arusha ni jiji kubwa kwa maana ya infrastructure hata mimi ningempinga sana tu,ila kama umemwelewa mkuu msemakweli anachokisema ni kuwa arusha ina/ilistahili kuwa zaidi ya ilivyo leo,hasa kutokana na mega projects alizoziainisha hapo,kutokana na resources zilizopo na zinazoizunguka,kutokana na geography yake,kutokana na rasilimali watu iliyonayo,ukiangazia hayo yote utakubali kuwa arusha ingeweza kuishinda hata dar,ila kuna tatizo la centralization,na equalization kimaendeleo,dar imeteuliwa kuwa joka kubwa linalomeza nyoka wengine wakiwa wadogo,linameza mpaka think tanks za mikoa mingine,mfano wabunge na mawaziri,etc etc.
Arusha is a 'city' situated in Tanzania's northen region. As of now, it has a population of roughly half a million people.
In my view, Arusha is a city that has the potential of being Tanzania's most economically significant city, surpassing Dar es salaam and possibly even Kenya's Nairobi.
Arusha is a major international diplomatic hub. It hosts the EAC headquarters and is also the proposed seat of the African Court of Justice, the AU's apex judicial organ.
Arusha's service sector should now be rivalring Nairobi's, fifty three years down the lane! World class hotels, shopping malls should be the order of the day! It is at the centre of the northern tourism circuit, thanks to its strategic location close to the Kilimanjaro and even the Ngorongoro and Serengeti.
Some stakeholders have argued that the government should have first built a major international airport there before even ugrading Dar's JNIA.
Air Tanzania should be headquartered in this airport and should play a major role in bringing tourists directly into the country, instead of the current situation where many land at Kenya's JKIA and then cross over to Tanzania. Mark you, air fares are a significant chunk of a tourists total budget.
Arusha also has vast untapped potential in the gemstones sector, and some say that it should be 'Africa's gemstone hub'
In the Agricultural sector, Arusha has few rivals in Tanzania. Horticulture is flourishing, and the aforementioned international airport would have been a major catalyst for tea and flower exports.
Arusha is also sorrounded by major urban centres (eg Nairobi to the north and Moshi to the east), unlike her sister-city of Dar es salaam. This could be a major catalyst for growth of a throbbing metropolis.
In terms of education, the city has been selected to host the multi million dollar Aga Khan University.
In my view, the government should stop concentrating everything in Dar es salaam. Other cities like Arusha, Zanzibar, Mwanza, Mbeya and Dodoma also have enormous potential.
As a sign of commitment to this course, the government should order all its offices move to Dodoma (including the state house, court of appeal, ministries, government agencies and parastatals) in a phased manner between 2015 and 2020. It should also devolve more powers to the regional governments in a manner similar to Kenya's or South Africa's.
I am not from Arusha myself, neither am I a mchagga or a mpare or a maasai.
I just see that city for what it can be.
Kwanza nafikiri haulewi nini maana ya Mega City nafikiri umelisikia tu hilo nano na ukaamua kulitumia!
Pili Arusha kama Arusha haina tatizo lolote, maendeleo ya Mji wa Arusha yanaendana na maendeleo ya nchi ya TZ kwa ujumla hivyo ukichukulia kiwango cha maendeleo tuliyonayo TZ Arusha iko vizuri tu, unachosahau ni kwamba Arusha haiwezi kuendelea na kuwa kama ulivyoelezea kama Tanzania haijaendelea, ni lazima TZ kama Nchi iendelee ndio iweze kubebe miji yake pamoja na SIYO kinyume chake!
Asante mkuu,ila sasa mbona tanzania hii hii yenye maendeleo haya haya inakuwa miji yenye standards tofauti kubwa kama mbingu na ardhi?kwa maelezo yako basi kama Dar ingekuwa tanzania,basi mtwara ingepaswa kuwa nchi nyingine kabisa,mkoa wa pwani ungekuwa labda malawi na kilimanjaro ingekuwa zambia nk nk nk,mkuu huaamini kuwa kuna miji mizuri mno kwenye nchi masikini zenye level kama ya Tz tu?hat hapa Dar penyewe pana standards tofauti za mitaa japo jiji ni moja,unasemaje kuhusu hilo?
Dada FaizaFoxy arusha ni ndogo ki eneo,na hiyo ni advantage ya kuweza kuiboresha,ila sasa ukisem utanue barabara kama ya uhuru/sokoine itabidi uvunje vijighorofa vyoote vilivyo pembezoni,na hilo ndiyo jambo gumu kabisa kulitekeleza,naamini hata huko ulaya/marekani? Ulipo kuna vi miji vidogo tu lakini vyenye viwango vya maana,tena ambavyo havina hata rasilimali na geografia kama ya arusha.
Nilichomaanisha ni kwamba Arusha kwa ngazi ya Kimaendeleo na mfumo wetu jinsi ulivyo iko vizuri tu!
Dar iko jinsi ilivyo kwa sababu moja kubwa tu na yo ni kwamba ndio mji mkuu na ambapo kila kitu kiko huko leo hii wewe hata ukitaka kufungua Kiwanda tu labda Arusha au Kigoma ni lazima pia ufungue na Ofisi ya Pili Dar bila ya hivyo utakwama hata msajijri tu wa Makampuni Brela ni lazima uende Dar, ukitaka kufwatilia maswala ya kodi TRA lazima uende Dar, ukitaka kuonana na watu wa Chamber of commerce ni lazima uende Dar na ndio maana iko hivyo!
Lkn Arusha kama Arusha kwa mfumo huu wetu haiwezi kuizidi Dar hata iweje labda Serikali ichukue hatua za makusudi za kuipendelea Arusha tu, kitu ambacho mikoa mingine pia wataona siyo sawa, hivyo kwa ngazi ya Maendeleo tulinayo TZ, Arusha iko juu tena sana tu!
Kwanza nafikiri haulewi nini maana ya Mega City nafikiri umelisikia tu hilo nano na ukaamua kulitumia!
Pili Arusha kama Arusha haina tatizo lolote, maendeleo ya Mji wa Arusha yanaendana na maendeleo ya nchi ya TZ kwa ujumla hivyo ukichukulia kiwango cha maendeleo tuliyonayo TZ Arusha iko vizuri tu, unachosahau ni kwamba Arusha haiwezi kuendelea na kuwa kama ulivyoelezea kama Tanzania haijaendelea, ni lazima TZ kama Nchi iendelee ndio iweze kubebe miji yake pamoja na SIYO kinyume chake!
Do you think that it is impossible to have a mega city within an underdeveloped country? Kuna nchi ambazo maendeleo yake yameongozwa na miji yake. it is possible to have big cities in a small country and vice versa!