Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
Kwe kwe kwe kwe!

Kafanana na wewe kwani vipi?
Ama kweli nyani haoni kundule, hivi huyu nae kafanana na nini?
wassira ameamua kunya sebureni sasa anapakwa kinyesi chake
Kama kweli Halima ameongea hayo, atakuwa amewadhalilisha sokwe
Mbona wenyewe hawachagui vya kuongea? Watu wazima wameishiwa sera wanafanya siasa za maji taka!... Wacha wapate kinachowastahili...for the context of piple,that was not good. Binafsi sijaipenda hata kama utetezi wake utakuwa waafrika wote tunafanana na sokwe. Kuna vya kuongea na vingine unakaushi. Kuhusu spika nampa VEMA KUBWA!
Ama kweli nyani haoni kundule, hivi huyu nae kafanana na nini?
Nadhani Halima ametumia maneno ya aibu ingawa yana ukweli fulani. Unajua mtu anaweza kuwa na sura mbaya lakini unamsitiri. Ukimwambia unafanana na gari la jeshi kweli hayo ni matusi hata kama ni kweli. Sasa dada Halima umesema ukweli uliovua nguo!!!
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Ngumu kumeza, jitahidi usukumie hata na maji.. Pole weye!Halima mwenyewe ana hisia za kike hadi amfananishe mwanaume na sokwe?