duuh kumbe spika wa bunge naye ni chipsi kuku!? Au ni buffet!!!!?????akihutubia katika kijiji cha njori kata ya poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
Pia kuhusu swala la kuoa aliwataka ccm kwanza wakamuulize spika wa bunge(64) ameolewa na nani? Kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
...ohi ohi ohi ohi ohi...kwi kwi kwi kwi kwi kwi...ahaaa ahaaa ahaaa ahaaa ahaaaaaaaaa...no komedi or no nmekosea nilikuwa ninamaana no comment...umeniogea siku za kuishi mkuu!...Ni kweliii...wasira ni vivid example that we human beings originated from a spice of chimpanzee...kitu ya homohabillis kama history haijanipitia mbali...he is a so called old version of civilized human beings..very close to human nature...
jamaa yangu alituchekesha one day alisema eti wasira alikuwa kalala kwenye v8 lake anapita serengeti mbugani kwenda kwao bunda from a-town...alivyofika katikati ya mbuga akapiga usingizi kwa juu katupia kofia yake ya green n yellow ile wanatoka geti la mbugani si gari inakaguliwa..mlinzi wa mbuga akawa anamuuliza dereva wa wassira vipo wapi vibali vya kuvuna rasilimali za taifa aka sokwe mtu...sasa dereva akawa kama anataka kucheka ila jamaa yupo serious ndio akaamua kutumia ile picha ilee ya mwananchi mzee akiwa kalala akitafakari na kumwambia jamaa kuwa hii sio natural resource ni mkuu akitafakari kama hapa....
ndioooo halima hujakosea watu kibaooo tuu kitaaa tunamfananisha na sokwe-mtu.
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Nothing goes for nothing!
Useme basi bi.Mkubwa! here is where we dare to talk openly..ndio maana tunathubutu kusema wassira kafanana na sokwe!
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga

Sie tunamwaga, wewe na nani? Hii misemo ya kumwaga mboga bado inatumiwa na vijana? Mkimwaga mboga mimi namwaga maji ya kunawa na ya kunywa !Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
Yeye ni kijana acha ale maisha!
Hivi wewe umeolewa lakini?usije ukawa unawasema wenzio tu.
Njoo Arusha ndio utajua ! lazima utapewa p>a>r>a la nguvu
kalenga palepale kwenye 'nuts'...mr wassira aka mr chimpanzee/gorilla asipanick sana ila achukulie hili kama changamoto ya kukishughulisha kichwa chake kilichoanza kuchoka next time atakapokuwa anatoa porojo zake jukwaani...!me sidhani kama halima amepiga below the belt,...nadhani amepiga between the legs..