Ni kweli mbinu zao nyingi tunazipata kutoka kwa wananchi wenye mapenzi na CHADEMA hivyo basi ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko kuelekeza nguvu Arumeru ili mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki....si kwa kuuana kama CCM walivyo fanya Igunga.Asante Kwa taarifa Mkuu.
Magamba watahangaika sana, na mbinu wanazotumia zimeshajulikana.
CCM ni zaidi ya shetani wana mbinu nyingi chafu hivyo basi chadema na wapenda haki tuoongeze nguvu, maarifa pamoja na maombi ili shetani ashindwe........Huko hakuna Bakwata ambao huwa wanawatumiwa na CCM kuwahadaa waislam na kuonyesha kuwa CCM ni chama cha waislam na kinawapenda waislam,wakati waislam wamezudhurumiwa na CCM mali zao nyingi na kuwawekea chombo cha ulaghai cha kikafili Bakwata ili kiwahadae waislam ili washindwe kudai haki zao za msingi,sasa Arumeru hakuna hao Bakwata ambao huwa wanatumiwa na CCM.
Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia anawapa wananchi contact namba za simu za viongozi wa chadema wa kitaifa ili kuwahadaa wananchi kuwa yeye na Mbowe, Dr Slaa na n.k ni marafiki sana hivyo hakuna haja ya wananchi kuwakataa kuongea nao..
pia ametoa mil 10 atakae fanikiwa kumdhamini mgombea wa CHADEMA huku akiwa amemdhamini wa chama kigine kitu ambacho kitapelekea kukatiwa rufaa na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea jimbo la Arumeru Mashariki....
Tunashukuru kwa taarifa , tutashirikiana panapobidi mpaka kieleweke! Sisi tuna Mungu kamanda!Ni kweli mbinu zao nyingi tunazipata kutoka kwa wananchi wenye mapenzi na CHADEMA hivyo basi ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko kuelekeza nguvu Arumeru ili mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki....si kwa kuuana kama CCM walivyo fanya Igunga.
Ni kweli unachosema mkuu! Wanajisumbua bure tu hawa magamba! Afu sijui wanafanyishwa mazoezi ya nini manake wako choka mbaya kabisa, wanatumika zaidi kipindi cha kampeni na kwenye misiba ya viongozi wa chama chao, huwa wanafanyishwa kazi za kudhalilisha sana kwa mwanaume mwenye akili timamu hawezi kukubali kuzifanya! Yaani wana maisha duni sana, sijui wanalishwaga nini mpaka hawazinduki! Kampeni ikimalizika wanabaki kwenye ofisi za kata kuganga njaa!Watashindana lakini hawatashinda,watagawa pesa zao,but hawataambulia kitu!Arusha siyo Igunga wala tabora,Arumeru siyo uzini!Chadema will remain to be a firm political party in Arusha!waachen wafanye mazoezi yao,na watajua watu wa Arusha wako vp.
Naona wanajiandaa na vita hao,Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia anawapa wananchi contact namba za simu za viongozi wa chadema wa kitaifa ili kuwahadaa wananchi kuwa yeye na Mbowe, Dr Slaa na n.k ni marafiki sana hivyo hakuna haja ya wananchi kuwakataa kuongea nao..
pia ametoa mil 10 atakae fanikiwa kumdhamini mgombea wa CHADEMA huku akiwa amemdhamini wa chama kigine kitu ambacho kitapelekea kukatiwa rufaa na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea jimbo la Arumeru Mashariki....
Mkuu FROIDA, CCM wana Jeshi, Mahakama, Pesa lakini CHADEMA ina MUNGU hakika patachimbika...Hivi Crashwise huko Arumeru mutakubali kweli kuuawa na hawa maga-mba,basi watatamba dunia nzima kwamba wao vidume tunataka hao muwafanye wasipumue,wanabaka haki kwa namna hiyo kwa sababu gani
Naona wanajiandaa na vita hao,
Ila kweli sasa itafika mwisho wasidhani watafanya waliozoea na sisi kukaa kimya.
Uzuri huwa nakula wake za makada wenzake hata hivyo tuko makini kuliko unavyo weza kudhania......hahahaKwanza jiandaeni na huyo Mwigulu na wake zenu mnakumbuka alichofanya Igunga kwa mke wa kada mwenzake? Hata siku moja nguvu ya umma haishindwi na propaganda, Arumeru kama mlishawahi kwenda kudai uhuru kivyenu je propaganda za kijinga hazitakuwa na nafasi kwenu, mshahara wa dhambi ni mauti Mwigulu yataja mkuta siku moja kama si yeye hata watoto wake anawaandalia laana