Arts Collection Forum

Kwa hapa nyumbani nawaheshimu sana:-
-Masoud Kipanya
-Gayo
-Fedde
Kazi zao zinafikirisha sana wana convey message katika mtindo wa kipekee.
Kuna dogo anaitwa Olumide toka Nigeria aiseee kwa art work nimemvulia kofia hizi ni baadhi ya kazi zake





 
very realistic,
 
Maisha ya kiAfrica mazuri sana na matamu...nimeyamiss sana aisee!

tamaduni za kigeni hizi zinatuaribuu
 
John Kaduma ndio yupi huyo chief, naomba utupe kazi zake tumfahamu....wengine mm nawatambua kwa kazi zao tu majina siwafahamu.
Huyu jamaa alikuwa mchoraji wa majarida ya TABASAMU na SANI...!!! He is a legend aisee. Uzuri ni kwamba nimemshuhudia akiwa anafanya hizo kazi zake kwa sababu nilikuwa nakaa nae pale Dar, Mabibo. Ameshafariki. But alikuwa ni bro fulani mtaratibu sana.
 
Aisee SANI kitambo sana, ngoja nitamchek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…