Arts Collection Forum

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
11,449
Reaction score
25,821
Habariii
Moja ya burudani yangu kubwa ni ubunifu wa watu hasa wachoraji.
Pamoja na kwamba kila mchoraji anaweza kufikisha ujumbe wake kwa namna tofauti lakini ndani yake mimi napata burudani sana kwa maana amewasilisha kilichopo kwenye ubongo wake,

..yani its like he/she has transfered a document from softcopy to hardcopy.

kwa TZ tunao wakina Kipanya, Wa kudata, Ibra wa shokela na wengine.

Tushirikishane kazi hizo wapendwa...














 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…