Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,181
- 6,214
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa mda huu ambao natural satellite bado hazijaanza kutumika ni vizuri tukaanza kuzalisha na kuuza natural satellite zenye uwezo mkubwa sana
Ni kweli kuna uzi nilisema ntapiga marufuku matumizi ya man made satellite na kuweka msisitizo kwenye natural satellite
www.jamiiforums.com
Project ya kuzifanya natural satellite kuwa active utachukua mda mrefu sababu ndo kwanza ipo kwenye hypothesis yaani wazo
Nimeona DIT wanashirikiana na chuo cha Russia kurusha satellite ni wazi hio satellite ni kwa ajili ya mambo ya elimu na sio mambo sophisticated kama communication, navigation na space exploration
Ni aibu kubwa kuona kuna watu binafsi wanatengeneza na wanarusha mamia ya satellite ilihali sisi kama nchi mpaka sahivi hatutengenezi na haturushi sio sawa yaani hata kutokua na mipango hiyo
Usisahau
www.jamiiforums.com
Ni kweli kuna uzi nilisema ntapiga marufuku matumizi ya man made satellite na kuweka msisitizo kwenye natural satellite
Nikiwa Rais ntapiga marufuku matumizi ya man made satelite na msisitizo utakuwa kwenye natural satellite kama mwezi
Mambo yote yanayofanywa na man made satellite yanafika na mwezi kwa gharama ndogo sana kupita maelezo kwa hiyo ntapiga marufuku man made satellite
Project ya kuzifanya natural satellite kuwa active utachukua mda mrefu sababu ndo kwanza ipo kwenye hypothesis yaani wazo
Nimeona DIT wanashirikiana na chuo cha Russia kurusha satellite ni wazi hio satellite ni kwa ajili ya mambo ya elimu na sio mambo sophisticated kama communication, navigation na space exploration
Ni aibu kubwa kuona kuna watu binafsi wanatengeneza na wanarusha mamia ya satellite ilihali sisi kama nchi mpaka sahivi hatutengenezi na haturushi sio sawa yaani hata kutokua na mipango hiyo
Usisahau
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...