Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Huenda wazo lako ni muhimu sana, na angeliona bwana Elon Musk, huenda angelifanyia kazi. Nahisi Elon Musk hajuwi Kiswahili, na huenda hana mtu wake wa karibu (msaidizi wake) anayeijua lugha hii. Jaribu kufanya translation halafu post tena huenda ikawafikia wakubwa na wakaifanyia kazi na wewe wakakukumbuka kwa 'commission'.OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama mars, mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndo ambayo inafanya maisha yanawezekana
KAZI ZA OZONE LAYER
Kuzuia solar radiation
Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar radiation Dunia Ina ozone layer ambayo inazuia solar radiation ndo maana Kuna maisha
Kuzalisha oxygen
Kucontrol gravitational force
ARTIFICIAL OZONE LAYER
Ozone layer bandia kwa sayari kama mars, Venus na mercury kutachochea makazi na kuwepo kwa maisha kwenye hizo sayari. Wanachokosea NASA na wadau wengine wa mambo ya anga ni kufocus zaid kwenye rockets kuliko kwenye kutatua tatizo la msingi ambalo ni artificial ozone layer, mtu atakayeweza kutengeneza artificial ozone layer ya mars, Venus, na mercury atakua ndo mtu aliyefanya uvumbuzi Mkubwa kuliko watu wote
Ozone layer ni Gas huihitaji kuibeba inatengenezewa huko huko kwenye hizo sayariMKUU USEMAYO NI KWELI ILA SHIDA LAZIMA WAWEKEZE KWANZA KWENYE ROCKETS AMBAYO NDIO MEANS OF TRANSPORTATION KWA SASA KUELEKEA HUKO.
HATA HIYO ARTIFICIAL OZONE LAYER ITAKUWEZESHWA VIZUR KAMA TUTAWEZA FIKA HUKO MA KUSOMA MAZINGIRA KWA UKARIBU ZAIDI
Wao ni wanadamu na Kuna vitu wanakosea nakukumbusha India alikua colon la muingereza lakin Leo hii kampita muingereza kwa kukua na uchumi MkubwaBoss Fuatilia mipango yao ya transformation of mars na obtions za transformation walizonazo. Halafu, Hao unaowazungumzia ndio wamekufanya uelewe kuwa kuna sayari na wakakupa na componets za hizo sayari na sasa wana robots za uchunguzi kwenye space, dont underestimate their brain capacity kwa kudhani kwamba hili unalozungumza halijawahi kuclick kwenye vichwa vyao.
Boss unamchallange mrusi, mmarekani, mchina kuhusu space kwa kumwambia kuwa hajui tatizo ni "radiare"?Wao ni wanadamu na Kuna vitu wanakosea nakukumbusha India alikua colon la muingereza lakin Leo hii kampita muingereza kwa kukua na uchumi Mkubwa
Tatizo kubwa la muafrika ikiwemo wewe ni kuamin mzungu hakosei na kuogopa kumchallenge ndo maana tuko kama tulivyo
Wao kuwa na mafanikio makubwa haituzuii sisi kufikiri au kuwa challenge
Sihitaji kumchallenge mtu yeyote na sihitaji kibali kutoka kwa mtu yeyote ili nifikiri am free manBoss unamchallange mrusi, mmarekani, mchina kuhusu space kwa kumwambia kuwa hajui tatizo ni "radiare"?
This is not a challenge, you have defame their acumen. Hapa hakuna ulichochallenge, ndo maana nikakuambia fuatilia kuhusu mars transformation na sababu zake utaelewa kuwa hapa hujatoa challange ila umedharau uwezo wa akili zao sababu hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu uwezo wao na walipofikia katika mambo ya space.
Hiyo umesema wewe tatizo lako una generalized kwamba hakuna mtanzania anayeweza we endelea kuamin unavyoamin kwamba sisi hatuwezi Bali naendelea kuamin navyoaminiKwaufupi hakuna kitu mtanganyika aliyekulia na kupata elimu hii ya Tanganyika ya maelekezo kutoka kwa mwingereza ya kukariri maeneo ya viungo vya panzi anaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala ya anga mpaka kufikia kuwachallenge wenzetu.
Labda kama alipata nafasi ya kuwa na exposure hiyo katika facility zao. Tunachoweza kufanya ni kugoogle na kuyoutube taarifa zinazowekwa na wenzetu ili kupata uelewa kisha tubishane kitanganyika tanganyika. Sasa hivi tupo kwenye level ya kuunda magari ya Kp motors n.k, Sio dharau kwa ndugu zangu ila ni uhalisia tulionao katika jamii yetu.
Unaweza niprove wrong kwa kuibadili hii mada yako na kuiboresha kisha ukawachallenge kwa kupost kwenye forum zao na youtube ili ujiridhishe kuhusu uwezo wao iwapo watakubali kutumia muda wao kubadilishana hoja.
Now walk the talk -invent it.Sihitaji kumchallenge mtu yeyote na sihitaji kibali kutoka kwa mtu yeyote ili nifikiri am free man
Usiku wa kuamkia kesho na usiku wa Kesho sayari ya Jupiter na miezi yake minne: Io, Europa, Ganymede, and Callisto. itakuwa karibu na Dunia sayari yetu kilomita million 367.OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama Mars, Mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndiyo ambayo inafanya maisha yanawezekana.
KAZI ZA OZONE LAYER
- Kuzuia solar radiation. Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar radiation. Dunia ina ozone layer ambayo inazuia solar radiation ndiyo maana kuna maisha.
- Kuzalisha oxygen.
- Kucontrol gravitational force.
ARTIFICIAL OZONE LAYER
Ozone layer bandia kwa sayari kama Mars, Venus na Mercury kutachochea makazi na kuwepo kwa maisha kwenye hizo sayari. Wanachokosea NASA na wadau wengine wa mambo ya anga ni kufocus zaidi kwenye rockets kuliko kwenye kutatua tatizo la msingi ambalo ni artificial ozone layer. Mtu atakayeweza kutengeneza artificial ozone layer ya Mars, Venus, na Mercury atakua ndiyo mtu aliyefanya uvumbuzi mkubwa kuliko watu wote.
OkeySihitaji kumchallenge mtu yeyote na sihitaji kibali kutoka kwa mtu yeyote ili nifikiri am free man
Boss Hujasoma ukanielewa. Nimeweka exception ya exposure na facility, sijasema haiwezekani kabisa kwa mtanzania kufanya hayo. Itawezekana vp Mtz kufanya hayo ilihali hata vifaa vyetu tunavyojibia mitihani bado ni pimamaji ya kuchorewa utaje sehemu zake?Hiyo umesema wewe tatizo lako una generalized kwamba hakuna mtanzania anayeweza we endelea kuamin unavyoamin kwamba sisi hatuwezi Bali naendelea kuamin navyoamini
We bado ila mim tayariBoss Hujasoma ukanielewa. Nimeweka exception ya exposure na facility, sijasema haiwezekani kabisa kwa mtanzania kufanya hayo. Itawezekana vp Mtz kufanya hayo ilihali hata vifaa vyetu tunavyojibia mitihani bado ni pimamaji ya kuchorewa utaje sehemu zake?
Hii ni science hakuna mambo ya kuamini, imani ipo kwenye dini, unatakiwa uniprove wrong au ukubali kuwa sisi bado sana kuweza kuchallenge nn kifanyike huko space.
Okey, ts seems hatuna la kujadili tena buccaneerWe bado ila mim tayari