Miaka ya karibuni Artificial intelligence imekua ni hot topic hata davos ni moja ya vitu vilivyoongelewa sana. Hata nchi hasa mataifa makubwa wamekuwa wakipambana kuwa kiongoz katika Artificial intelligence
Lakin kumekuwa na uvumi kwamba AI adoption ina gharama sana, ni ukweli lakin sio Kwa 100%. Kampuni ndogo, ya kawaida wanaweza adopt AI Kwa kutumia gharama ndogo sana.
Hii ni kwa sababu ya uwepo wa open and free software na uwepo wa cloud computing.
Itaendelea........