Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 967
Arsenal chini ya kocha mahiri Mikel Arteta yazidi kuchanja mbuga baada ya kuinyuka Newcastle 3-0.
Kwani yupo wa ngapi ktk msimamo wa ligi?Arsenal chini ya kocha mahiri Mikel Arteta yazidi kuchanja mbuga baada ya kuinyuka Newcastle 3-0.
View attachment 1680820
Kocha kilaza huyu
Ah wapi kabahatisha tu.Arsenal chini ya kocha mahiri Mikel Arteta yazidi kuchanja mbuga baada ya kuinyuka Newcastle 3-0.
View attachment 1680820View attachment 1680821View attachment 1680822View attachment 1680823