Artchture

almirah

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
19
Reaction score
3
msaada wa maelezo kwa yoyote anaefaham kuhusu hii course kuna ndugu yangu kachaguliwa sielewi hata pa kuanzia
 
Ina deal na Designing na construction ya majengo
 
Inaitwa architecture a.k.a akikesha au archtoture!

Ni mziki mnene wa miaka mitano kwa ardhi university.

Kukesha siku tatu studio kupambana na project ni swala la kawaida kabisa.

Inahitaji moyo na kupenda kile anachokifanya.

Otherwise, ni course ya kibabe sana. Mwambie ajiandae kupiga shule na sio kwenda kuuza sura.

Ni hayo tu
 
ok asante sana
 

Eeh Kwa ARDHI nakubali sana hao ndio wabobezi wa hayo mambo, kama umepangiwa ARDHI utafaidi sana maana hao ndo waanzilishi na wabobezi, majamaa hao ma architecture ni hatari sana hua nawakubali vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…