Acha u.inga wewe...miaka 15 bila epl bado unaiita timu kubwa. Hiki kibabu kis.enzi kilitaka kutudanganya eti hii nayo ni timu kubwa.Mbona hata Liverpool, Hotspur, Everton, Man U, nk hata wao hawawi .mabingwa kwa miaka mingi kwanini iwe nongwa kwa Arsenal?