Arsenal VS Napoli

Arsenal VS Napoli

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Waungwana eti chanel gani ya kibongo itaonyesha mechi hii kali?
Nijuzeni nisilale mapema wadau.
 
Angalia DTV kwa channel za bongo lakini ni mechi kati ya dotmund na marseille.
 
Waungwana eti chanel gani ya kibongo itaonyesha mechi hii kali?
Nijuzeni nisilale mapema wadau.

Aljazeera Sport.

Hata hivyo, Arsenal wamedungwa mabo 2-0 lakini wameingia 16 best--knock out stage--Napoli nje!
 
Back
Top Bottom