Arsenal vs Man Utd

Tupeni updates za mechi ya simba na polisi morogoro mlioko uwanjani.
 
Tupeni updates za mechi ya simba na polisi morogoro mlioko uwanjani.

Wapenzi wa Simba wamesusa hata kuanzisha uzi wa mechi hii. Kipindi cha pili kimeanza, hadi sasa Simba 1-1 Polisi Morogoro.
 
Wakuu game imeanza Arsenal anaongoza moja dak 2 Wolcott
 
RVP anatowa Pasi anafikiria yupo Arsenal bado Goli la Walcolt ni offside! Ila Arsenal kama Wenger angembakisha Song na RVP na kununua beki au Middle yengine yakukaba wangekuwa hata mabingwa pengine Sir Alex anaakili yakuona alipungukiwa magoli so RVP na Carrick wameinyanyulia United ubingwa hata RVP angeangukia pia CITY pia pengine wangekuwa mabingwa. Hii Game United hawana njaa ya kushinda itaisha 3-1 pengine.
 
Hata kama ni offside maadam refa na msaidizi wake hawakuona, ni goli hilo. Wenger anazingua sana unaweza kushuhudia akauza tena wachezaji tegemeo mwisho wa msimu.
 

Attachments

  • b01bfe06b77d0b23dc3710ea87f6247f.jpg
    88.4 KB · Views: 68
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…