a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
UmenisemeaHongera kwa kuendelea kuishi kwa matumaini miaka nenda rudi.
Yakabati ya kitanda? Ashano lazima apatwe.Draw hyo. . Naweka hela kabisaaa laki 5
We endelea kupenda vyanga twala, wenzako tuna usaka ubingwa.Mpira mzuri ni wa Arsenal na Barca ulaya Hilo twalitambua, licha ta disappointments twachechemea....kuna ni mzunguko tuh kuna timu zilikuwa tishio zimepotea kwenye ramani....
Yakabati ya kitanda? Ashano lazima apatwe.
Mpira mzuri ni wa Arsenal na Barca ulaya Hilo twalitambua, licha ta disappointments twachechemea....kuna ni mzunguko tuh kuna timu zilikuwa tishio zimepotea kwenye ramani....
Umenivunja moyo sana ulivyowataja Barca, mpira wa Ulaya watu wanajua kusoma michezo, sana sana style kama ile ya Barcelona watazifunga timu kama Ajax tu.