Arsenal - New Era at the Emirates

Status
Not open for further replies.

The new Arsenal kit as modelled by Song,
Vermaelen, Arshavin and Walcott​



Something to shout about:
Van Persie looks chuffed to be sporting
the new Arsenal away kit​
 
Habari zimetinga kama kawaida vijana wako kwenye mazoezi Austria kujiandaa kwa Emirates Cup then Premier league kama kawa. Mwaka huu wapinzani wakubwa watakuwa citeh kwa sababu kubwa moja Manure wana ugomvi mkubwa na cowboys, wameshindwa kuuza tiketi kwa wanachama wao. Chelsick hawajui washike wapi vikongwe wanaendela kuzeeka khe khe khe khe .................wengine wanaikimbia timu wamekung'utwa bao tatu kwa moja kwenye mazoezi Loserfools hawana ubavu ati wamemnyakua kocha kutoka Cottagers maajabu ya Musa hayo.

Vijana hawa hapa chini kwenye mazoezi ... .... wakiwa na AW


































Wenye wivu wajinyonge​
 



​
Going NOWHERE .. ... ... Cesc​
 
Arsenal 1 AC Milan 1




Cool customer: Marouane Chamakh (left) shakes off
the attentions of Luca Antonini to beat keeper Christian Abbiati






Little magician: Samir Nasri bamboozles Mario Yepes
​
 


Back in peace​




Cesc Fabregas reported for training

with his Arsenal team-mates today​
 
huyo kijana emmanuel frimpong looks to be a real talent. he needs to work on his positioning, reading the game and passing in tight areas. but the kid is only 19 so if he gets several first team appearances he will quickly improve on those things and become song's permanent partner at the center of mid field. he is quick, stong and very very very good on one on one situations. i do not know what will happen to eastmond because he was doing such a good job when he came on last season although he is not as strong or as quick as frimpong he is a very good reader of the game and a good passer of the ball. that game at bolton last season was his best.
 




​



​


Wenye wivu wajinyonge.​

 
Eish!nilijua anaenda Barca huyo Cesc! good news kujua anabaki, mie Walcott TU niwekee picha yake Wacha!!!
 
''Utamu wa majigambo ni kufanikiwa kwa mipango''

Kila la Kheri

A sin'hole(ass n' hole/ass in all)
 
Eish!nilijua anaenda Barca huyo Cesc! good news kujua anabaki, mie Walcott TU niwekee picha yake Wacha!!!

​


 
​



​


Theo huyoooooooo oooo khe khe kheeeeeeeee​
 

 
WENGER: Arsenal's veteran manager ​
 

ARSENE WENGER insists Cesc Fabregas is not the new Cristiano Ronaldo - because there is no deal to let him go next summer.
 


 
Manuel Almunia, Jack Wilshere pamoja na Marouane Chamakh akisaidiwa na Andrey Arshavin wapo katika 11 kuanza kabumbu kwenye mpambano wa kukata na shoka Anfield. Cesc pamoja na Robin wapo benchi .... ...... .
 
Manuel Almunia, Jack Wilshere pamoja na Marouane Chamakh akisaidiwa na Andrey Arshavin wapo katika 11 kuanza kabumbu kwenye mpambano wa kukata na shoka Anfield. Cesc pamoja na Robin wapo benchi .... ...... .

Where is Cesc Barcelona? Kichapo hiki wazee wa kuswaga Mbuzi
 


Where is Cesc Barcelona? Kichapo hiki wazee wa kuswaga Mbuzi

Angalau unafahamu nani wababe wako pandisha sauti hadi jehanam. Hii sio West Brom .... ... enjoy the match.
 




Angalau unafahamu nani wababe wako pandisha sauti hadi jehanam. Hii sio West Brom .... ... enjoy the match.


Hold on! what language is spoken in Arsenal's dressing room? Certainly Not English!....French Yes....hahahahahahahhhhh
 






 

 
 





Rein storm ... .... ... Pepe gaffes late on ....​
 
PEPE REINA was left in despair when his last-minute cock-up cost 10-man Liverpool a dream Premier League start.






Wide open: Marouane Chamakh, escaping from Jamie Carragher, encountered an interesting debut to Premier League football







Fever pitch: Chamakh looks on as Reina fumbles
in Arsenal's dramatic equaliser to silence a bouncing Anfield​


Good result for Arsenal away from home. Nasri ameonyesha kukomaa, Arshavin bado yuko likizo, Rosicky tutegemee good contribution, Diaby pengine hakuwa kwenye number yake. Wacha Cesc aingie next week tutakapoanza PL rasmi.

 

Standing his ground: Jack Wilshere fared well on his full Premier League debut
for Arsenal, getting to grips with Javier Mascherano​
 



Out for four weeks

​






Nasri will be out for at least four weeks after picking an injury last Sunday against Loser fools.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…