Subirini next week mnakutana na Valencia Antonia, zile kross zake zitawamaliza. Reading kumbe nayo kiboko, imewahenyesha kihivyo! kajipangeni kabla ya kukutana na mashetani wekundu.
Acha kuchonga weweeee...First Eleven ilikua hiihahahahaaaaaa
kweli mmefulia wakuuu...duh hata reading mnapanga first eleven na kwenda extra......ndomaana watu wenye akili zao wamekimbia timu yenu.....
NAJUA MTANIUA KWA MATUSI