M m2n JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 411 Reaction score 63 Aug 9, 2013 #1 Klabu ya arsenal itakutana na fenerbahce katika kuwania kuingia kwenye makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya.
Klabu ya arsenal itakutana na fenerbahce katika kuwania kuingia kwenye makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya.
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,114 Reaction score 1,402 Aug 9, 2013 #2 haya sasa majanga, maana waturuki siku zote ni die hards hakunaga kulala, twaweza dondokea europa tusipokuwa makini
haya sasa majanga, maana waturuki siku zote ni die hards hakunaga kulala, twaweza dondokea europa tusipokuwa makini