Arovera shamba dunia ya leo? Fanya mipango mingine tu mpenzi

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,665
2,000
Asalale wanajamvi wote heshima mbele yenu zimwagike sana.

Mke wangu kipenzi kwa kweli anaelekea kunishinda sasa iko hivi katika kuimarisha uchumi nikiwa hai na watoto wasije teseka hata nikifa nikanunua mashamba Ruvu na morogoro na nikapanda miti na mazao ya ufuta na sometimes nalima matikiti maji wateja wanaenda kununua shambani vijana wanakusanya mkwanja wanaleta town, sasa zamani my wife wangu, yiwe aghandii alikua shap sana wakiishiwa mbolea au pampu zimeharibika alikua anakimbia fasta mwenyewe tena sometimes kila weekend kama nipo home anaforce tukafanye visit huko tunakwenda fasta na kurudi na vizawadi kama mahindi mabichi , matikiti maji, maembe ya juisi na kadha wa kadha, sasa vijana wanaweza ishiwa vitu anakausha tu hadi wafuate wao na nikimweleza mama Kokushubhira maendeleo actually yakoje yeye anasema Baba Koku tuangalie miradi mingine mashamba tuuze jamani nimweleweje mimi huyu?
 

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,665
2,000
Jamani ushauri wenu muhim kwan kuuza mashamba ni big no na hasemi nini kimemsibu juu ya hayo masuala ya shamba
 

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,665
2,000
Ukiona mwanaume ameweka kitu hapa toa ushauri kwani hii tabia sio ya jana wala juzi na anajua wazi baadhi ya mambo muhim tumefanya kupitia kilimo cha mashamba hayo


hiyo ni family issue sana ambayo simply inabidi mui solve wenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom