Army ready to defend Malawi says MDF Commander Odillo

Mnapanua panua tu midomo hamjua hata mnachoongea.jeshi lipi mnalojidai nalo hili ambalo askari wanakufa kwa kuzama mtoni na kushindwa kuogelea..ptuuuh

hata mimi nawashangaa. sasa hivi hatuwezi shindana hata na Rwanda
 

Who lied to you that we have the best army in east Africa?
 
Malawi embu jaribu kuingia vitani bila kupata msaada wowote kutoka kwa UK, muone kama mtachukua Wiki moja.

Msiwe na wasiwasi, Uganda ilisaidiwa na Waisrael na Waribya hata hivyo hawakuona ndani, Waingereza si tishio kwetu, tutakubali Obama aendelee kuchimba Urenium bure ili apigane mwenyewe kwani atakuwa analinda mali yake.
Nhduhu tabu bhanampala!
 
odillo huyu jamaa atakua mjaruo au dinka,ila design kama malawi wa sha anza kuogopa, TPDF wangetupia kitu chenye ncha kali au bom kuwatisha zaid.
 


Well said.......Waache wajaribu waone
 
Msiwe na wasiwasi, Uganda ilisaidiwa na Waisrael na Waribya hata hivyo hawakuona ndani, Waingereza si tishio kwetu, tutakubali Obama aendelee kuchimba Urenium bure ili apigane mwenyewe kwani atakuwa analinda mali yake.
Nhduhu tabu bhanampala!

Nani amejudanganya kuwa Uganda ilisaidiwa na waisrael? vita vya uganda sio kipimo, tulipigana sambamba na waganda waliotaka kumuondoa Amin wakiwemo kina Museveni.
 
Watanzania tutafakari haya ya HELIGOLAND TREATY hasa hapa "It is common knowledge that African boundaries were drawn by former colonial powers. The border between Malawi and Tanzania was set out in the treaty signed by Britain (representing Malawi) and Germany (representing Tanzania) in the Anglo-German Heligoland Agreement of 1 July 1890.

This critical agreement demarcated the boundaries involving a number of territories under British and Germany control, such as Tanzania, Malawi, Kenya, Ghana, Chad, Togo, Cameroon and Congo, among others.
Article 1 paragraph 2 of the Heligoland Treaty provides that the Malawi and Tanzania boundary runs ‘…along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. It then continues up that river to its intersection point with the 33rd degree of east longitude’.
It all seems pretty clear since the Treaty draws the boundary along the shores of Lake Malawi thereby giving the entire body of water to Malawi".
Nawasilisha tafadhali!
 
that is exactly the army slagon all over the world, and this builds your soldier`s molale and threatens your enermy.

Comrade; if that's any army's "standard slogan", how do you expect such a slogan to threaten your enemy who (may be) is singing the same slogan? Rather, I expect the purpose is to build your coward soldier's morale rather that threatening the opponent.
 
We tanzanians we a tird of ths let them invade us then they a going to see that we ain't such humble n i thnk there's someone behind ths no longer diplomarcy here uh!!!??!!



Kiingereza hujui! Andika Kiswahili tu watakuelewa; au Kinyakyusa. Hizo lugha wamalawi wote wanazielewa.
 
Nipe mfano wa nchi hiyo iliyoungwa mkono na ikawa nchi nzuri ya kuishi yenye maendeleo. Hao wanaopaza sauti za Boro Young hata hawana ndoto za kwenda kuishi hizo nchi zinazoungwa mkono na China au China kwenyewe kwa kuwa huko maisha ni nusu mkate, hakuna uhuru na usalama wako ni kufunga mdomo wako. Mzimu wa china ni ushetani uliokomaa kuliko huo wa nchi za magharibi.
Tusiombee vita na tutumie njia zote kuiepusha na hata ikishindikana kuiepusha tuna uwezo wa kupigana wenyewe pasipo kuwategemea hawa makupe wa Asia na Simba wa mchi za magharibi. Tusiruke mkojo tukakanyaga mavi.
 
Mbona munaandika kama Sitta? Mbona munaandika kama Lowasa?

Mimi m-TZ kuna faida gani ya kupigana na malwi? Gesi? Mafuta? kwani nina faidika nini na Dhahabu ya Buhemba, Kahama au mkaa wa Mchuchuma?

Wanaofaidika ni kikwete na Riziwani. Waache wakapigane. Tena mimi naapa Vita ikija, nitawaonyesha kambi zote za kijeshio nilizoziona nikiwa JKT kwa lazima ya sheria. Sina haja ya kuhangaika na nchi iliyooza.

Hapa vita inatafutwa ili kuwa na visingizio vya wizi wa pesa tu!
 
Nani amejudanganya kuwa Uganda ilisaidiwa na waisrael? vita vya uganda sio kipimo, tulipigana sambamba na waganda waliotaka kumuondoa Amin wakiwemo kina Museveni.

Ni kweli walikuwepo lakini wachache sana! TPDF ndiyo ilifanya kazi kubwa wengine tunajua AZ maana tulishiriki
 
Nani amejudanganya kuwa Uganda ilisaidiwa na waisrael? vita vya uganda sio kipimo, tulipigana sambamba na waganda waliotaka kumuondoa Amin wakiwemo kina Museveni.

Hao akina M7 unao waabudu maana ni ndugu zako walijifunza wapi jeshi? kwenu Rwanda? Nyie ndiyo wasaliti mmechukua uraia wa Tanzania mnatuletea matatizo,hao wote unao waabudu wamejifunza jeshi Tz
 
The tree of freedom is watered with blood! the border dispute is settled with cool heads!!!! all the time,
 
Kisha hakikishiwa msaada ndio maana sasa anachonga...DHAIFU bado anakenuakenua tu wakati huyo "Dada yake" ameshaanza kuliweka jeshi lake katika hali ya kuingia vitani ili kulinda wizi wao wa 50% ya ziwa nyasa ambalo limo katika mipaka ya Tanganyika.

Malawi embu jaribu kuingia vitani bila kupata msaada wowote kutoka kwa UK, muone kama mtachukua Wiki moja.
 
odillo huyu jamaa atakua mjaruo au dinka,ila design kama malawi wa sha anza kuogopa, TPDF wangetupia kitu chenye ncha kali au bom kuwatisha zaid.

Aisee, kweli kabisa hilo jina hata mimi mwanzo nilistukia siyo la kimalawi. Inawezekana Mjaluo au Acholi
 
Lets give diplomacy a chance, afterall he did not mention Tanzania in his talk.

Well he mentioned no names but with the prevailing situation even a kid could understand that, that was directed to Tanzania.
 
vita hata kama ni siku mbili athari zake ni kubwa. Mungu atuepushie mbali na janga la vita nchini mwetu.
 
Malawian Foreign Affairs Minister Ephraim Nganda Chiume, on Thursday led a team of government officials on a tour of the border district of Karonga to assure people of their safety amid simmering tension with Tanzania. 'We wanted to assure the people that their security is guaranteed,' Chiume said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…