Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Ni kama fainali ya kombe la dunia ilijirudia leo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Ujerumani na Argentina. Katika fainali ya Brazil,Ujerumani ilishinda kwa bao 1-0. Leo, Argentina imeibuka na ushindi wa mabao 4-2.
Kisasi kimelipwa...
Kisasi kimelipwa...